MSSIS HELP

ESS jinsi ya kufanya assessment

Ingia kwenye akaunti yakoπŸ‘‰Fungua eUtendaji
πŸ‘‰ Fungua Employee Performance Assessment
πŸ‘‰ Chagua Employee Assessment
πŸ‘‰ Yatakuja majina yote ya wanastaff wako ukiondoa la mkuu ambaye atafanyiwa assessment na supervisor wake ngazi ya juu.
πŸ‘‰ Click jina moja moja la wanastaff wako ili tasks zake zionekaneΒ 
πŸ‘‰ Baada ya hapo utaona kinyundo juu kimeandikwa Assess (Click hapo)
πŸ‘‰ Subtasks zitahamia upande wa kushoto na utatakiwa kuckclick subtask moja moja mpaka ziishe
πŸ‘‰ Kila unapoclick subtask moja itakupeleka kwenye ukurasa unaoinesha zile performance indicator yaani Qualitative na Quantitative.
πŸ‘‰ Kila performance indicator mbele yake kuna doti tatu.Β 
πŸ‘‰ Click doti tatu za kwenye Qualitative (itakuletea options nyingi)
πŸ‘‰ Chagua Assess Subtask
πŸ‘‰ Itakupeleka kwenye uwanja wa kuassess na utatakiwa kufuta 0 na kujaza alama unayoona inafaa mfano 80, 90, 100 n.k
πŸ‘‰ Kisha Save utakuwa umemaliza subtask moja. Endelea na nyingine mpaka ziishe.
πŸ‘‰ Baada ya hapo nenda kwa staff wa pili naye fanya hivyo.

Related Articles