*MFUMO WA KU-GENERATE RATIBA YA KUFUNDISHIA ULIOBORESHWA*
Kwa sasa Mfumo wa ku-generate ratiba ulioboreshwa uko sawa;
*Vitu vya msingi vya kuzingatia;*
1. Hakikisha umepandisha wanafunzi madarasa (class upgrade) kwa taratibu zilizotolewa awali.
2. Hakikisha umesha-wa-assign walimu wote masomo yao ya kufundisha kwa kila darasa/kidato.
3. Mikondo yote kwa kila darasa iko assigned kwa wanafunzi wa darasa husika. Mfano; kama darasa moja lina Mikondo 3 (A, B, C), hakikikisha w/funzi wa darasa husika baadhi yao wamekuwa assigned Mkondo A, B na wengine C basi.
*Jinsi ya kutumia program hii*
1. Mtaaluma/Makamu/Mkuu atabofya kwenye task ya `Teaching=>T/L materials=>Teaching timetable=>Generate new=>set mda, matukio officials ndani ya ratiba, breaks na siku za masomo kwa wiki kwa shule yako=>Create=>Baada ya kufanikiwa ku-create=>rudi back ili u-filter ratiba uliyocreate kama Unpublished, itatokea ambayo unaweza ku-export to PDF kuview.` Ukijiridhisha inakidhi matakwa, unaweza kupublish sasa ili staffs wote waione kupitia akaunti zao.
2. Masomo ya maths, hisabati, na arithmetics yamepewa kipambele ya kuonekana kwenye ratiba vipindi vya asub.
3. *NB:* Mtaaluma anaweza ku-generate ratiba kwa mara ya kwanza lkn isimletee ratiba rafiki zaidi kwa shule yake, anashauriwa kurudia ku-generate mara kadhaa hadi kupata ambayo ni rafiki zaidi.
4. Pia, kwa chini kuna orodha ya masomo yote na idadi ya vipindi kwa wiki kwa kila somo, hivyo tujiridhishe kama idadi ya vipindi viko sawa kabla ya ku-generate (kama haviko sawa, naomba tu-edit kabla ya ku-generate). Endapo pia shule X itakuwa na idadi ya vipindi vingi zaidi kwa wiki kuliko idadi stahiki, mtaaluma anaweza kupunguza idadi ya vipindi kwa wiki vya somo X kwa ku-edit ili ku-balance idadi ya vipindi hivyo, kisha ku-generate.
5. Kwa somo ambalo idadi ya vipindi vyake havijawa indicated, tuwasiliane na wataalam wetu mapema ili viwekwe.
*Tanbihi:*
1. Kwa shule za msingi, wataaluma wanaweza ku-generate Ratiba kimadarasa (drs awali, drs I&II, drs III&IV, drs V-VII) kulingana na mitaala yao, na baada ya kupata ratiba rfk zaidi ya madarasa husika, publish.
