Data

Fomu ya kukusanya Taarifa ya Ufundishaji kwa Robo mwaka

Ifuatayo ni fomu kwa ajili ya kukusanya Taarifa ya Ufundishaji ya ROBO mwaka. Taarifa hizi zina paswa kuwasilishwa kabla ya tarehe 19 APRIL. Tafadhali taja kwa uangalifu na ukamilifu. Kila mwalimu ana paswa ku submit mara 4 kwa kila kidato (FORM ONE, FORM TWO, FORM THREE NA FORM FOUR). Ndugu mwalimu tafadhali zingatia muda

Taarifa ya Ufundishaji

Taarifa ya Ufundishaji